French Montana kutoa albamu yake ya kwanza
Rapper mwenye asili ya Morroco anayeishi Marekani French Montana , anatarajia kuachia albamu yake ya kwanza Julai 14 mwaka huu.
Albamu ya’Jungle Rules’ ndiyo ya kwanza kwa Montana tangu alipoanza kutambulika katika soko la muziki, ndani ya albamu hiyo kuna ngoma kama ‘Unforgettable,’ aliyoshoot nchini Uganda.
Albamu ya’Jungle Rules’ ndiyo ya kwanza kwa Montana tangu alipoanza kutambulika katika soko la muziki, ndani ya albamu hiyo kuna ngoma kama ‘Unforgettable,’ aliyoshoot nchini Uganda.
Mastaa kama The Weeknd, Pharrell Williams, Travis Scott, Quavo, T.I., Future,Young Thug na wengine watasikika katika albamu hiyo ambayo tour yake imeanza.
Hizi ndio ngoma kumi na nane zitakazo patikana katika albamu hiyo;
1. Whiskey Eyes feat. Chinx
2. Unforgettable feat. Swae Lee
3. Trippin
4. A Lie feat. The Weeknd & Max B
5. Jump feat. Travis Scott
6. Hotel Bathroom
7. Bring Dem Things feat. Pharrell
8. Bag feat. Ziico Niico
9. Migo Montana feat. Quavo
10. No Pressure feat. Future
11. Push Up
12. Stop It feat. T.I.
13. Black Out feat. Young Thug
14. She Workin feat. Marc E. Bassy
15. Formula feat. Alkaline
16. Famous
17. Too Much
18. White Dress
2. Unforgettable feat. Swae Lee
3. Trippin
4. A Lie feat. The Weeknd & Max B
5. Jump feat. Travis Scott
6. Hotel Bathroom
7. Bring Dem Things feat. Pharrell
8. Bag feat. Ziico Niico
9. Migo Montana feat. Quavo
10. No Pressure feat. Future
11. Push Up
12. Stop It feat. T.I.
13. Black Out feat. Young Thug
14. She Workin feat. Marc E. Bassy
15. Formula feat. Alkaline
16. Famous
17. Too Much
18. White Dress
No comments