Mshambuliaji tegemeo wa kikosi cha Yanga, Heritier Makambo amesema kuwa anaumia kuondoka Yanga kwa kuwa kuna vitu vingi atavikumbuka ila ham...Read More
MAKAMBO ; NASEPA YANGA MAZIMA ,NITAWAKUMBUKA DAIMA
Reviewed by peter spirit
on
1:19 AM
Rating: 5
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza Waamuzi watakaochezesha mchezo wa kirafiki wa kimataifa Simba dhidi ya Sevilla ya Hi...Read More
REFA ELLY SASII KUCHEZESHA MECHI YA SIMBA NA SEVILLA ALHAMISI UWANJA WA TAIFA
Reviewed by peter spirit
on
11:31 PM
Rating: 5
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, ametoa pongezi kwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatt...Read More
WAZIRI MWAKYEMBE AMPONGEZA MBWANA SAMATTA
Reviewed by peter spirit
on
9:00 AM
Rating: 5
Mabingwa watetezi Simba leo wamebeba pointi tatu mbele ya Ndanda FC na kuanza kunukia ubingwa wa ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 2-0 kwe...Read More
KIPORO CHA KOROSHO CHALIKA DIMBA LA UHURU,SIMBA WAKIIKANDAMIZA NDANDA 2-0
Reviewed by peter spirit
on
8:17 AM
Rating: 5
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) linavitaka vilabu vyote kuwa makini na mikataba wanayoingia na Wachezaji pamoja na makocha wao. ...Read More
TFF KUZIKATA FEDHA TIMU ZITAKAZOKIUKA MIKATABA YA MAKOCHA NA WACHEZAJI
Reviewed by peter spirit
on
10:32 AM
Rating: 5
Kamati ya nidhamu iliyokutana Januari 1, 2018 ilipitia ripoti mbalimbali za mchezo kati ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons uliochezwa Uwanj...Read More
KAMATI YA NIDHAMU YA TFF YAMSHUSHIA RUNGU MENEJA WA TANZANIA PRISON
Reviewed by peter spirit
on
4:33 AM
Rating: 5
Wamiliki wa klabu ya Liverpool wamepanga siku ya leo kumpatia Jurgen Klopp maamuzi yao ya mwisho kuhusu Philippe Coutinho kama ataondoka kat...Read More
MRITHI WA PHILIPPE COUTINHO NDANI YA LIVERPOOL ATAJWA
Reviewed by peter spirit
on
3:50 AM
Rating: 5
Mabao ya dakika za lala salama ya kiungo Pius Buswita na mshambuliaji Amissi Tambwe yameipa ushindi wa 2-0 Yanga SC dhidi ya Reha ya Temeke ...Read More
YANGA SC YATOA KICHAPO DHIDI YA WATOTO WA TEMEKE KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERATION
Reviewed by peter spirit
on
10:32 AM
Rating: 5
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta ameanza kuonekana akifanya mazoezi mepesimepesi ya kutembea k...Read More
HALI YA SAMATTA YAENDELEA KUIMARIKA
Reviewed by peter spirit
on
5:52 AM
Rating: 5
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC usiku wa jana imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ashanti United katika mchezo wa k...Read More
AZAM FC YAIPA DOZI YA 4G ASHANTI UNITED
Reviewed by peter spirit
on
6:07 AM
Rating: 5
BAO la Emmanuel Aronld Okwi dakika ya 90 na ushie limeunusuru Simba kulala mbele ya Mtibwa Sugar ya Morogogo baada ya kupata sare ya 1-1 kat...Read More
BAO LA DAKIKA YA MWISHO LA OKWI LAINUSURU SIMBA KULALA KWA MTIBWA
Reviewed by peter spirit
on
1:40 PM
Rating: 5
MABINGWA watetezi, Yanga SC jioni ya leo wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodaco...Read More
YANGA YAKWEA KILELENI VPL BAADA YA KUICHAPA KAGERA SUGAR KAITABA
Reviewed by peter spirit
on
1:26 PM
Rating: 5
Klabu ya Mbeya City FC imesitishwa mkataba na aliyekuwa kocha Mkuu, Kinnah F. Phiri ambaye alianza kandarasi ya kuitumikia timu hiyo Agosti ...Read More
Mbeya City yamfungashia virago Kocha wake
Reviewed by peter spirit
on
1:17 PM
Rating: 5
Duru la tatu la Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara linatarajiwa kuendelea tena hapo kesho tarehe 15 kwa wapenzi wa soka kushuhudia mchezo mm...Read More
Yanga SC ,Simba SC na Azam FC kutafuta point tatu muhimu wiki hii
Reviewed by peter spirit
on
1:00 PM
Rating: 5
AZAM FC imeshindwa kutumia vyema fursa ya kucheza nyumbani, baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na Simba SC katika mchezo mkali wa ...Read More
AZAM FC YALAZIMISHWA SARE NA SIMBA CHAMAZI
Reviewed by peter spirit
on
11:40 AM
Rating: 5
Kuelekea mchezo wa Azam FC v Simba SC, Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Iddi Maganga amesema kuwa kikosi chao kinaendelea na mazoezi kwa ajil...Read More
Azam FC wapo tayari kumvaa ‘mnyama’ Simba SC
Reviewed by peter spirit
on
1:42 PM
Rating: 5
MABAO mawili ya winga mpya wa klabu ya Difaa Hassan El- Jadida yameipa Tanzania ushindi wa 2-0 dhidi ya Botswana katika mchezo wa kirafiki w...Read More
MECHI IMEKWISHA; STARS YAICHAPA BOTSWANA 2-0, MSUVA AWIKA.
Reviewed by peter spirit
on
9:25 AM
Rating: 5
Shirikisho la ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC) limewafungia na kuwapiga faini ya Tsh. 200,000/ mabondia Cosmas Cheka na Francis Miyeyusho wa...Read More
Cheka, Miyeyusho wafungiwa na TPBC, faini juu
Reviewed by peter spirit
on
2:13 PM
Rating: 5
Mimi ni mwanamuziki wa RnB na Bongo Fleva na pia ni Blogger wa blog ya PlanetMwamba unaweza pia kinifuatilia facebook,twitter,instagram na youtube @peter spirit sapoti yako ni muhimu sana