Usikose Hizi Hapa

MAKALA MAALUM YA MKONGWE WA SOKA NCHINI HENRY JOSEPH SHINDIKA

Huu ni muendelezo wa makala zetu ambapo katika makala za ANGA ANGAVU leo tunamuangazia mchezaji mkongwe wa Tanzania Henry Joseph Shindika aliyewahi kusakata kabumbu safi ndani na nje ya taifa hili.

Aliwahi kuzichezea klabu mbalimbali kama vile Mtibwa Sugar,Simba SC ambayo amepata mafanikio makubwa katika klabu hiyo,baadae akapaa hadi klabu ya Kongsvinger ya nchini Norway halafu akarudi tena katika klabu yake ya zamani ya Simba SC na sasa yupo tena Mtibwa Sugar.

>>>>>TAZAMA ZAIDI MAKALA HII<<<<<<<

No comments