HABARI PICHA ; TAZAMA MAFURIKO YALIVYIKUMBA BUKOBA MAPEMA LEO
Mafuriko yameikumba Bukoba mjini leo kuanzia majira ya saa mbili asubui kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwa kufunika na kuzunguka baadhi ya nyumba zilizopo maeneo ya Nyakanyasi na Darajani Sokoni na sehemu nyinginezo.

Hata hivyo chanzo cha habari kimetujuza kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha zaidi ya familia kupoteza mali zao

Hata hivyo chanzo cha habari kimetujuza kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha zaidi ya familia kupoteza mali zao
Post Comment
No comments