Usikose Hizi Hapa

SADIO MANE AFUNGA,SENEGAL IKIICHAPA ZIMBABWE NA KUFUZU ROBO FAINALI KOMBE LA AFCON

Senegal imefuzu hatea ya robo fainali ya Afcon baada ya kuichapa Zimbabwe kwa mabao 2-0.

Mabao ya Senegal yamefungwa na Sadio Mane na Henri Saivet na aliyefunga kwa mkwaju wa adhabu.

Senegal wangeweza kuibuka na ushindi mnono zaidi lakini umehiri wa kipa wao ulipunguza mabao ya kufungwa.

Kabla katika kundi hilo, Tunisia waliwatwanga Algeria kwa mabao 2-1 na kujiweka katika nafasi ya kufuzu.


Senegal ina pointi sita ambazo zimeipa nafasi ya kufuzu. Tunisia inafuatia ikiwa na tatu, Zimbabwe na Algeria kila moja ina moja na zote zimebakiwa na mchezo mmoja.

No comments