Usikose Hizi Hapa

JOSHUA ATAMBA, KLITSHCHKO AAMINI KILA MMOJA ATASHINDA

Anthony Joshua amejigamba kummaliza mkongwe  Wladimir Klitschko katika pambano lao lililopangwa kufanyika Aprili 29, mwaka huu.

Pambano hilo litapigwa kwenye Uwanja wa Wembley jijini London, England na Joshua amesema atajenga heshima siku hiyo.

Lakini Klitschko âmesema ngumi zitakapoanza, itakuwa ni biashara na yeye atauthibitishia ulimwengu faida ya uzoefu.

No comments