Usikose Hizi Hapa

Picha ya Zari yamchefua Diamond

Msanii Diamond Platnumz ameonyesha kuumizwa na picha ya mama watoto wake, Zari The Bosslady ambayo inamuonyesha akiwa na kidume mwingine kwenye swimming pool na kusambaa mitandaoni.
Muimbaji huyo kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika, “Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kutambaa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa.”


No comments