Baada ya Jay Z sasa ni Wizkid
Tumeona rapper Jay Z akifanya kolabo na msanii kutoka Jamica Damian Marley, kupitia albamu yake ya 4:44 iliyotoka Juni, 30 mwaka huu. Sasa ni zamu ya Starboy – Wizkid kutoa ngoma na mkali huyo.
Kupitika mtandao wa Twitter, msanii huyo ambaye ametoa mixtape yake wiki iliyopita ikiwa na nyimbo 12 pamoja na bonus track moja,ameweka picha na akiwa na Damian Marley ambaye ni mtoto wa marehemu Bob Marley.
“Talked about working with this man. Today we dey here! Legend! To the world my friend,” ameandika msanii huyo.
No comments