Mhe. Nyalandu ampongeza Masanja Mkandamizaji kwa kuwatembelea watoto wa Lucky Vincent Marekani
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amempongeza Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji) kwa kuchukua muda kwenda kuwafariji watoto ambao ni Majeruhi wa shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha wanaopatiwa matibabu nchini Marekani.
Mhe. Nyalandu ametoa pongezi hizoleo kupuitia mtandano wa Instagram ambapo amesema kuwa Agosti 18 watoto hao watawasili katika uwanja wa ndege wa KIA.
Ijumaa, Agosti 18, saa 3 asubuhi watoto watawasili KIA. Asante #Masanja kwa kuchukua muda wako na kwenda kuwafariji watoto mjini Sioux City. #MunguIbarikiTanzania
No comments