Muigizaji wa ‘The Expendables 3’ atua Bongo
Watu wengi maarufu duniani wamekuwa wakipishana kwa kupigana vikumbo kwenye mlango wa kuingilia Tanzania kwa mwaka huu. Muigizaji mkongwe wa filamu nchini Marekani ambaye anafahamika kwa jina la Harrison Ford ni staa mwingine ambaye ametua nchini kimya kimya.
Ford ni muigizaji na mtayarishaji wa filamu, ambaye pia ameigiza katika filamu ya ‘The Expendables 3’ ameonekana katika mbuga ya wanyama ya Serengeti.
Muigizaji Harrison Ford akiwa katika mbuga ya wanyama, Serengeti
Katika filamu hiyo, Harrison Ford ametumia jina la Max Drummer.
No comments