Rais Magufuli aagiza waliobinafsishiwa viwanda kuvirejesha serikalini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewataka wote waliobinafsishiwa viwanda mbalimbali katika mkoa wa Morogoro kuvirejeresha serikalini.
Rais Magufuli kupitia taarifa yake iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imesema kuwa endapo wakishindwa kuviendeleza wapewe wawekezaji wanaoweza kuviendeleza na kutoa ajira.
Soma taarifa kamili:
No comments