Usikose Hizi Hapa

Uwanja wamsahaulisha kipigo kocha wa Gor Mahia, Dylan Kerr (Video)

Kocha Mkuu wa klabu ya Gor Mahia Muingereza, Daylan Kerr amekiri kufurahishwa na Uwanja wa Taifa kwa namna ulivyokuwa mzuri licha ya timu yake kukubali kichapo cha magoli 2-1 kutoka kwa Everton.


Kerr ambaye hana muda mrefu toka ajiunge na kikosi hicho amesema kwa sasa anaamini anakibarua cha kuhakikisha anakiweka sawa timu hiyo mara baada ya kurejea nchini Kenya hata hivyo amewashukuru wapenzi wasoka kwa kujitokeza na kuishabikia timu hiyo.

No comments