Video;Navy Kenzo waahidi kutangaza mauzo ya album yao ya ‘Above Inna Minute’
Kundi la Navy Kenzo mwanzoni mwa mwaka huu limetangaza liliachia Album yake ya ‘Above Inna Minute’ na mpaka sasa limekiri kuwa mauzo ya Album hiyo yameenda vizuri na kuahidi mashabiki wao kuwa wapo mbioni kutangaza mkwanja walioingiza.
Navy Kenzo wamesema mafanikio ya mauzo ya Album yao ya ‘Above Inna Minute’ ni ishara kuwa wamefanikiwa kwenye muziki na mwezi ujao wataweka wazi mauzo hayo.
Bonyeza link hapo chini uwasikilize Navy Kenzo wakiongelea muziki wao kiujumla.
Bonyeza link hapo chini uwasikilize Navy Kenzo wakiongelea muziki wao kiujumla.
No comments