Usikose Hizi Hapa

Video: Ben Pol adai hakujuta kipiga picha za utupu ‘ni funzo katika maisha’

Muimbaji Ben Pol amesema yote yaliyotokea wakati anaandaa wimbo ‘Tatu’ hayawezi kumfanya ajutie katika maisha yake ya muziki kwani ni sehemu ya vitu ambayo amepitia ili vimjenge katika maisha yake. Amesema hayo baada ya watu kudai kuwa picha za utupu ambazo alizipiga kwaajili ya kuandaa project yake hiyo zilikuwa sio nzuri kutokana na hadhi ya muziki wake huku wengine wakidai hakupaswa kufanya vitu vya namna hiyo.

No comments