Usikose Hizi Hapa

NEW VIDEO: MWANA FA, AY & FID Q – UPO HAPO?

Marapa watatu kutoka Tanzania, Mwana FA, AY na Fid Q wameungana na kufanya ngoma kwa pamoja inayokwenda kwa jina la ‘Upo Hapo?’ Audio ya mdundo huu imetengenezwa na Hermy B na Video imeongozwa na Director Alessio kutoka Kampuni ya Studio Space Pictures (SSP)  .Tazama kichupa hapa chini kisha acha maoni yako.

No comments