VIDEO: RAIS MAGUFULI APIGA MARUFUKU MICHANGO SHULENI
Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na Sekondari na kuwaagiza waziri Suleiman Jaffo na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kusimamia hilo.
==Msikilize hapo chini
No comments