Kakakuona laki moja huuliwa kila mwaka
Inakadiriwa kuwa zaidi ya kakakuona laki moja wanawindwa, kuuzwa na kuweka rekodi ya kuwa wanyama wa porini wanauzwa zaidi duniani kwa mwaka. Kwa mujibu wa Mtandao wa AFRICANIISM.
Nyama ya kakakuona inasadikika kuwa na soko zaidi katika nchini ya China, Vietnam na maeneo mengine ya Bara la Asia, huku ikiwa na matumizi mengine.
Hata hivyo inasemekana kuwa nyama yake ikipikwa na kuungwa inasaidia kutibu ugonjwa wa kansa na kuongeza uwezo wa kunyonyesha kwa wakina mama.
Watafiti walionya mwaka jana kuwa ulaji wa nyama za kakakuona unatishia uhai wa wanyama hao, kwani imekua ikihitajika sana na kufanya uwindaji uongezeka.
No comments