Usikose Hizi Hapa

Picha: Dj Khaled na Rihanna wakutana Miami kufanya kitu hiki


Dj Khaled ameendelea kuandaa silaha zake za maangamizi.


Rapper huyo baada ya kuthibitisha kufanya kolabo na Rihanna ambapo wimbo huo utapatikana katika albamu yake mpya ‘Grateful’ – Khaled ameamua kuingia location kwa ajili ya kuandaa video ya wimbo huo.
Katika wimbo huo pia mbali na kumshirikisha mrembo Rihanna, Bryson Tiller amedaiwa kuhusika pia ndani kwa kuwa ameonekana katika baadhi ya picha wakati video hiyo ikiandaliwa mjini Miami.
Lakini pia kuna uwezekano mkubwa mtoto wa Dj Khaled, Asahd akaonekana katika video hiyo. Albamu ya ‘Grateful’ inatarajia kuachiwa Juni 23 ya mwaka huu.

No comments