Msanii mkongwe wa muziki, PNC Shino ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nyota’. Wimbo umeandaliwa na Mazuu Record. Video imeongozwa na Pizzo Mtena.
No comments