Picha: Angelina Jolie amtaja Brad Pitt katika jarida la ‘Vanity Fair’
Muigizaji wa filamu Hollywood Marekani, Angelina Jolie anatarajiwa kukava jarida la ‘Vanity Fair’ linalotoka Septemba 2017.
Katika jarida hilo Angelina atamzungumzia maisha yake ya sasa pamaoja na mahusiano aliyokuwa nayo na aliyekuwa mumewe Brad Pitt.
Picha zitakazokuwa katika jarida hilo.
Mahusiano ya mwanamama huyo na Brad Pitt waliisha mna mwaka jana baada ya kuvunja ndoa yao waliofunga mwaka 2014 na walibahatika kupata watoto sita kati yao wapo awalioawasili.
No comments