Picha: Joto lawatesa wachezaji wa Arsenal
Klabu ya Arsenal ineaendelea na maandalizi yake kwa ajili ya msimu mpya wa wakiwa jijini Shangai, China, joto la mji huo limepanda hadi kufikia nyuzi joto 30, hali iliyosababisha kocha Arsene Wenger kuwapoza wachezaji wake kwa kuwaingiza katika maji ya barafu
.
Kutokana na hali hiyo baadhi ya wachezaji walionekana kulalamika hali hiyo ya joto kuwa kali. Baadhi ya wachezaji walikubaliana na hali hiyo ya Wengine walikubaliana na hali hiyo na
Mohamed Elneny, Aaron Ramsey, Olivier Giroud, Theo Walcott na Danny Welbeck walionekana kushindwa.
Zifuatazo ni picha
Mchezaji, Mohamed Elneny akionyesha kutofurahishwa na hali ya hali hiyo
Lakini mchezaji wa Gunners, Olivier Giroud akionekana kufurahia maji hayo
Wachezaji , Aaron Ramsey (juu) na Theo Walcott(chini) wakionekana katika chombo hicho kilichowekwa maji ya barafu ili kuiweka sawa miili yao
Mchezaji wa Arsenal, Danny Welbeck akiingia katika chombo kilicho hifadhi maji ya barafu nchini China
Wachezaji wa Arsenal wakionekana kujifunza mchezo wa ngumi (Kung Fu) wakati timu hiyo ikifanya sherehe na mashabiki zake Shanghai
No comments