Picha;Tundu Lissu Afikishwa Mahakamani
Siku 4 baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na kuwekwa mahabusu, Rais wa Chama cha Mawakili na Mbunge wa CHADEMA, Tundu Lissu leo July 24, 2017 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uchochezi.
Tundu Lissu alikamatwa July 20, 2017 akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akielekea Rwanda kwenye mkutano wa Mawakili.
.
No comments