Video: Meek Mill alivyofreestyle kwenye Hot 97
Rapper Meek Mill ameonyesha ameendeea kuonyesha uwezo wake wa kufreestyle kuypitia kipindi cha Hot 97 kinacho ongozwa na mtangazaji anayeongoza kuingia katika migogoro na wasanii wengi Funkmaster Flex.
Kwenye freestye hiyo Meek ametumia mdundo wa wimbo wa P Diddy ‘Victory’ ambao aliwashirikisha The Notorious B.I.G na Busta Rhymes. “Last night was mad real. Poppin’ percs like they was Advils / I’ve been putting on for my city seven summers and they actin’ like they mad still,” amerap rapper huyo.
“Tell me I’m losing, what do you mean? Westbrook, baby, no switching teams / Drop a triple double every time I’m on the scene / I won’t claim that bitch, that’s Billie Jean / She’s not my lover / Lethal weapon, Danny Glover / O.J. style when I cut her,” ameongeza kwenye verse ya mwisho ya freestyle hiyo.
Tazama hapa chini video ya Meek Mill akichana kwenye kipindi hicho.
No comments