Video: Mwandishi wa ‘Komela’ na ‘Ni Wewe’ ya Amini afunguka mazito
Msanii Criss Wamarya ambaye amewahi kufanya vizuri na wimbo wa ‘Kilomita Sita’ ameamua kufunguka mazito kuhusu nyimbo ambazo amewahi kuwaandikia wasanii kama ‘Komela’ ya Dayna Nyange, ‘Ni Wewe’ ya Amini na nyingine. Tazama mahojiano hayo aliyofanya na Bongo5 kwenye video hapa chini.
No comments