Video: Nikimuangalia Vanessa naona kuna kazi ya ziada – Lulu Diva
Msanii wa Bongo Flava, Lulu amefunguka na kusema Vannesa Mdee ni msanii ambaye akimuangalia anajiona bado anatakiwa kuweka nguvu zaidi katika muziki wake.
Hitmaker huyo wa ngoma ya Usimuache, ameiambaia Bongo5 kuwa sababu ya yeye kuamini hivyo ni kutokana Vanessa ameshaufikisha muziki wake mbali
“Nikimuangalia Vee kwa sababu yeye tayari ameshapeleka muziki wake international, ameweza kiji-brand kubaki pale alipo, so nikumangalia naona ok, hapa kuna kazi ya ziada,” amesema Lulu Diva.
No comments