Usikose Hizi Hapa

VIDEO:Mbunge wa CUF aliyetimuliwa atoa maneno ya kusisimua

Wabunge nane waliotimuliwa na Profesa Ibrahim Lipumba , mmoja alizungumza jana na Waandishi wa habari aliyejulikana kwa jina la Raisa Abdallah Mussa alisema kuwa walipokosea ni padogo huku akisema si kazi kubwa sana kuparekebisha baada ya Mahakama kuyatupa maombi ya wabunge hao waliotimuliwa CUF.

>>>>HABARI KUTOKA BONGO 5<<<<<

No comments