Usikose Hizi Hapa

New video: Madee ft Nandy – Sema

Msanii wa Bongo Flava kutoka kundi la Tip Top Connection, Madee ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Sema’  aliyomshirikisha Nandy, video ya wimbo huo imeongozwa na Khalifan Khalmando, wakati audio ikiwa imefanyika MJ Record.

No comments