Usikose Hizi Hapa

PICHA;Jinsi Kiwanda cha Super doll Kilivyoteketea kwa Moto

Moto mkubwa umeteketeza kiwanda cha Super doll kilichopo barabara ya Nyerere Dar es Salaam mchana wa leo, na kuteketeza mali za kiwanda hicho.
Kamanda wa polisi mkoa wa Temeke, Gilles Muroto, amesema chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.

Katika tukio hilo la kuzima moto huo kulijitokeza changamoto kubwa ya magari ya kuzima moto, ambapo kati ya magari 10 ya zimamoto moja ndilo lenye uwezo wa kuzima moto katika kiwanda hicho.

No comments