TAZAMA VIDEO MPYA YA ASLAY ''NATAMBA''
Msanii Aslay amekuwa ni miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri zaidi kwa mwaka huu na hivi juzi ameweza kutoa wimbo wake mpya uitwao natamba unaoendelea kufanya vizuri katika mtandao wa youtube.
Aslay aliyetokea kundi la YA MOTO BAND ambalo limesambaratika ametoa nyimbo nyingi mfululizo ambapo karibia nyimbo zote zimefanya vizuri katika masikio ya mashabiki zake.
Sasa basi nakusogezea video hii mpya inayoendelea kuwa on trande zaidi mitanadaoni.
>>>>>TAZAMA VIDEO ASLAY-NATAMBA<<<<<
No comments