Vyakula vinavyoweza kuongeza nguvu kwenye ubongo
Ubongo wa binadamu unafanya kazi nyingi ikiwemo kufikiria kuna wakati unakuwa na usongo wa mawazo jambo linaloweza kuleta madhara katika afya ya binadamu.
Takwimu zinaonyesha baada ya miaka 85 uwezekano wako wa kupata ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu huongezeka kwa asilimia 50. Hivyo ni wazi tunahitaji kujiwekea mazoea na tabia ya kula vyakula na kuishi namna ambazo zitakuwa zikiendelea kuupa nguvu ubongo kila siku.
Hii ni orodha ya vichache vinavyoweza kufanya ubongo wako uwe na nguvu pia uhakikishe unapata usingizi wa kutosha kila siku:
1. Samaki
2. Mayai
3. Korosho
4. Broccoli
5. Parachichi
6. Spinachi
7. Lozi (Almonds)
2. Mayai
3. Korosho
4. Broccoli
5. Parachichi
6. Spinachi
7. Lozi (Almonds)
No comments