Usikose Hizi Hapa

HARMONIZE ATOA NGOMA MPYA "NEVER GIVE UP" UNAOHUSU MAISHA YAKE / NEW VIDEO

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Harmonize ameachia video ya wimbo wake wa ‘Never give up’ akielezea changamoto aalizopitia kwenye maisha yake na akieleza ni historia ya kweli kile alichokieleza kwenye wimbo wake huo wa ‘Never giveup’ yaani usikate tamaa’
Video ya wimbo huo imefanywa na Zoom production iliyochini ya Director Kenny.

No comments