Usikose Hizi Hapa

Spika Ndugai apokea taarifa ya Wabunge 8 waliotimuliwa CUF

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema amepokea taarifa kutoka kwa Mhe. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha wananchi CUF, Ibrahim Lipumba ya kuwafukuza wabunge na 8 na Madiwani wawili.Baada ya kuitafakari barua hiyo Spika amesema atoa maamuzi.

Soma taarifa kamili:

No comments