Video: Kocha wa Everton Koeman awasifu Gor Mahia, afurahishwa na Rooney
Kocha wa Everton Ronald Koeman amesema amefurahishwa na kiwango cha mchezaji wake mpya, Wayne Rooney huku pia akikisifu kiwango cha wachezaji wa Gor Mahia kutokana na kuonyesha kiwango kikubwa katika mechi yao ya kirafiki hapo jana.
No comments