Kundi la muziki kutoka Burundi, Bdi-G The Future ambalo linaundwa na wasanii watatu wameachia video ya wimbo wao mpya ‘Uburyohe’. Tazama video hiyo hapa chini.
Video: Bdi-G The Future – Uburyohe
Reviewed by peter spirit
on
1:26 PM
Rating: 5
Mimi ni mwanamuziki wa RnB na Bongo Fleva na pia ni Blogger wa blog ya PlanetMwamba unaweza pia kinifuatilia facebook,twitter,instagram na youtube @peter spirit sapoti yako ni muhimu sana
No comments