Usikose Hizi Hapa

VIDEO;MAKALA MAALUM YA HAYATI BABA WA TAIFA

ANGA ANGAVU ni makala inayowaangazia watu maarufu waliowahi kutikisa dunia kwa mikono na miguu yao wenyewe na kuwa na ushawishi mkubwa katika dunia.

Makala hii imelenga nyanja zote kuu nne ikiwamo kisiasa,kijamii,kiutamaduni pamoja na kiuchumi

Leo tunamuangazia mtu aliyewahi kuwa mashuhuri katika ulimwengu huu,si mwingine ni hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wa Tanzania enzi ikiitwa Tanganyika na kuweza kuishinda vita ya kupigania uhuru dhidi ya wakoloni

TAZAMA MAKALA HII YA ANGA ANGAVU UJIFUNZE MENGI KUTOKA KWAKE

No comments