VIDEO; ALIKIBA AFUNGUKA KUMSAINI JOKATE KWENYE LEBO YAKE NA ASLAY KUJIUNGA ROCKSTAR 4000
Alikiba amefunguka kiundani kuhusu wasanii aliowasaini katika lebo yake mpya ambayo anatarajia kuitambulisha muda si mrefu ya Kings Music, akiwemo Jokate Mwegelo pamoja na tetesi za kutaka kumsaini Aslay ndani ya Rockstar 4000 kutokana na wawili hao kudaiwa kuwa karibu zaidi.
No comments