Enock Bella wa Yamoto Band akwama kutafuta njia mpya ya kutokea (Video)
Mmoja kati ya wasanii ambaye alikuwa anaunda Kundi la Yomoto Band, Enock Bella amefunguka kuzungumzia ukimya wake baada ya wenzake kama Beka Flavour pamoja na Aslay kuonekana wakiendelea kuporomosha nyimbo kila kukicha.
Wasanii wa kundi hiilo kila mmoja anafanya kazi kivyake baada ya kudaiwa kuitilafiana kimaslahi.
No comments