New Video: Harmonize – Sina
Msanii kutoka label ya WCB Harmonize ameachia video mpya ‘Sina’ ambayo imeongozwa na director Khalfani, katika video hii anaonekana msanii mwenye heshima yake katika Bongo Flava, Mr Nice.
Reviewed by peter spirit
on
4:46 AM
Rating: 5


No comments