Video: Mr Flavour f/ Semah G. Weifur – Most High
Msanii wa Nigeria Mr Flavour ameachia video ya wimbo wake ‘Most High’ ambao unapatikana katika albamu yake “Ijele – The Traveler.” Katika wimbo huo amemshirikisha Semah G. Weifur, wimbo umetayarishwa na Master Kraft wakati video imeongozwa na Adasa Cookey.
No comments