Usikose Hizi Hapa

New Video: Chindo Man Ft Dogo Janja – Since Day One

Msanii wa Hip Hop Bongo kutoka Arusha, Chindo Man ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Since Day One’ ambayo amemshirikisha Dogo Janja, video hii imeongozwa na Inno Mafuru kutoka M Visuals.

No comments