Msanii wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Rayvanny ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Chuma Ulete’, video hii imeongozwa na Eris Mzava.
No comments