Usikose Hizi Hapa

NEW VIDEO; KALA JEREMIAH FT FETTY KALUMBU- KIJANA

Hii ni Video mpya ya wimbo wakwake Kala Jeremiah uitwao Kijana aliomshirikisha msanii wa kike Fetty Kalumbu ambao ameutoa siku mbili zilizopita na kwa sasa ina view elfu 44 miongoni mwa nyimbo zenye ujumbe mzuri.

Kala Jeremiah msanii wa hiphop nchini amekuwa kimya kwa muda mrefu tangu alipotoa colabo yake na Roma uitwao nchi ya ahadi,sasa leo nakusogezea Video yake mpya baada ya kimya chake kirefu.

>>>>>TAZAMA HAPA<<<<<

No comments