Usikose Hizi Hapa

‘NIMERUDI’ WENDY WILLIAMS ATAMBA BAADA YA KUDONDOKA

Baada ya kudondoka katika kipindi chake huku akiwa amevalia mavazi kama Lady Liberty, mtangazaji  wa Wendy Show, Wendy Willams amerejea na kujitamba kuwa ni mshindi.
Wendy ambaye alidondoka dakika chache tu baada ya kutambulisha vazi lake alilovaa katika sikukuu ya Halloween.
“That was not a stunt, I overheated and did pass out, but I’m a champ and I’m back,” amesmea Wendy baada ya kurejea katika show hiyo.
Halloween hufanyika kila October 31, siku ya mwisho ya kalenda ya Celtic. Awali siku hiyo ilikuwa ni siku ya wapagani kuwakumbuka waliokufa. Halloween ilikuwa ikimaanisha ‘All Hallows Eve’ na hiyo ni zaidi ya miaka 2000 iliyopita.

No comments