Video: Mtoto wa Waziri Mwakyembe, akisoma wasifu wa marehemu, Bi Linah
Mtoto wa Waziri Mwakyembe, George Mwakyembe amesoma wosia wa marehemu mama yake, Bi Linah katika ibada iliyofanyika katika kanisa la KKT Kunduchi jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya kuusafirisha mwili huo kuelekea mkoani Mbeya kwaajili ya mazishi.
No comments